22.11.13

Tuesday, November 05, 2013

Rich101 ft MoPlus & Kitu - Kaa Pembeni (KIONJO)

KIONJO cha wimbo wa rapper Rich101 featuring MoPlus na Kiranja Kitu ikiwa ni project juu ya beat ya producer Moscow na Vocals+Mixing pande za Nozmekah Production Studios,ngoma inaitwa "Kaa Pembeni" na inatarajiwa kuwa officially released baada ya Video Kufanyika, sikiliza KIONJO HAPA na kwa mawasiliano/mahojiano na Rich101 check kwa nambari +255 766 513 202 au +255 758 463 818 powered by www.vmgafrica.com
--
Rich101 ft MoPlus & Kitu-Kaa Pembeni (KIONJO) http://goo.gl/1zdoh7

No comments: