22.11.13

Saturday, November 16, 2013

(News) Watanzania wote waishio KENYA leo wanakutana kwenye chakula cha pamoja na balozi wa Tanzania nchini Kenya MH BATILDA BURIANI.

Venue Ni Sarova Pan Afric
Muda Ni 6pm
Tarehe 16 November
Mgeni rasmi Ni balozi wa Tanzania Nchini Kenya Mhe Batilda Buriani
Dhumuni Ni kukutanisha watanzania walioko nchi kenya kwenye chakula cha pamoja usiku na kushirikiana jinsi ya kuwezesha umoja huu uwe mahiri nje na ndani ya kenya.

No comments: