22.11.13

Friday, November 01, 2013

(Video Clip) Makamuzi ya BOB JUNIOR na VANESSA MDEE ndani ya CLUB BILICANAS

Hii show ilitokea weekend hii iliyopita ambapo kulikuwa na uzinduzi wa wimbo mpya wa Bob Junior akiwa amemshirikisha Vanessa Mdee unaitwa Bashasha. Watu walikuwa wakutosha na shangwe zilikuwa zakutosha hebu jionee mwenyewe clip hii iliyochukuliwa kwa njia ya simu.

No comments: