tag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post6047533296746970662..comments2023-10-24T18:35:14.722+03:00Comments on DJCHOKAblog: Tanzania's Entertainment Blog: (Video) Yaliyojiri jana DAR LIVE kwenye show ya DIAMOND PLATNUMZ & NAY WA MITEGOUnknownnoreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-62171755562460944372013-05-20T10:06:46.461+03:002013-05-20T10:06:46.461+03:00Kaz nzuriiiiKaz nzuriiiiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-58781784491716766252013-05-20T05:26:29.395+03:002013-05-20T05:26:29.395+03:00Dj Choka wape hao watu salamu zangu, mpango wa kup...Dj Choka wape hao watu salamu zangu, mpango wa kupandisha watu kwenye steji wasiohusika ulipitwa na wakati. Waimbaji, wachezaji, walinzi, wapiga picha, anayerekodi picha wote wapo kwenye steji na hao wanaoonekana nyuma ndio wanaharibu kila kitu. Tujitahidi kubadilika na kuheshimu ikulu ya muimbaji anapokuwa akitumbuiza.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-19679777753244022082013-05-19T20:48:06.666+03:002013-05-19T20:48:06.666+03:00Nashindwa kuelewa hao mabaunsa na wapiga picha kwa...Nashindwa kuelewa hao mabaunsa na wapiga picha kwanini wamejaa hapo stejini ..steji yenyewe ndogo...Undisorganised mno!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-72387736064619587252013-05-19T14:50:41.814+03:002013-05-19T14:50:41.814+03:00dah!hiyo show ilikuwa classic sanadah!hiyo show ilikuwa classic sanaMxonjovichttps://www.blogger.com/profile/12198147680713265374noreply@blogger.com