tag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post6508358229851161676..comments2023-10-24T18:35:14.722+03:00Comments on DJCHOKAblog: Tanzania's Entertainment Blog: (News) Staki kusikia nyimbo zote za marehemu ALBERT MANGWEAR alizorekodi BONGO REC zikipigwa CLOUDS FM kuanzia sasa.Unknownnoreply@blogger.comBlogger25125tag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-2531542909130074372013-06-01T13:38:17.685+03:002013-06-01T13:38:17.685+03:00P funk ana tapa tapa... Yeye mwenyewe alichangia k...P funk ana tapa tapa... Yeye mwenyewe alichangia kuua ndoto za wasanii wachanga walokua wanataka kutoka kipindi hicho... Alikua anaringa sana.. Sasa hivi studio zimekua nyingi kafulia anatafuta pa kutokea kupitia msiba wa Ngwea... Jipange ww P.. RIP Albert Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-54680019647645078242013-05-30T16:01:52.436+03:002013-05-30T16:01:52.436+03:00watu hamuelewi sababu za p.funk kusema ngma za
ng...watu hamuelewi sababu za p.funk kusema ngma za
ngwea alizo record yy zicpigwe...ulizeni vzr mfahamishwe na c kuropoka ropoka tu...big-up p.funk uko saawa kabisa!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-29309359945876626282013-05-30T07:13:56.889+03:002013-05-30T07:13:56.889+03:00dah...lets wait...dah...lets wait...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-56676232281842301502013-05-30T03:09:02.848+03:002013-05-30T03:09:02.848+03:00Ruge Mutahaba - utaua wangapi? Next ni Lady Jaydee...Ruge Mutahaba - utaua wangapi? Next ni Lady Jaydee ama? Nawe zako zitafika tu!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-14509604339605863592013-05-29T22:47:08.552+03:002013-05-29T22:47:08.552+03:00Ukiangalia wote wanaolalamikia clouds yani wameish...Ukiangalia wote wanaolalamikia clouds yani wameishiwa,wana stress za maisha.pfunk kubali matokeo,chart yako imeshuka.jipangeeeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-8290811020302763672013-05-29T22:25:23.881+03:002013-05-29T22:25:23.881+03:00majani kufulia kwako siyo udiss clouds NAWE DJ CHO...majani kufulia kwako siyo udiss clouds NAWE DJ CHOKO ACHA KUSHABIKIA UJINGAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-57675838608369055642013-05-29T21:37:05.834+03:002013-05-29T21:37:05.834+03:00haya bana mzee ashasemahaya bana mzee ashasemaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-22125681800006426192013-05-29T21:10:08.235+03:002013-05-29T21:10:08.235+03:00Ngwear alishaonywa sana kula dawa na braza kalapin...Ngwear alishaonywa sana kula dawa na braza kalapina,ushahidi angalia nyimbo ya hiphop bila madawa utaona bango limewataja hadi majina plus tid,ni uvivu wa kufikiria tu'Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-29533750703370671142013-05-29T21:07:01.546+03:002013-05-29T21:07:01.546+03:00kuishiwa maarifa,
Iv mtu mzima kama ngwear avutish...kuishiwa maarifa,
Iv mtu mzima kama ngwear avutishwe unga na clouds how?,na huyo m2 the p nae mtasemaje?,
Acheni ujinga nyie'

Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-38843236754095806932013-05-29T21:04:55.457+03:002013-05-29T21:04:55.457+03:00Acha ujinga Majani, Unatafta umaaruf wa kijinga
Ki...Acha ujinga Majani, Unatafta umaaruf wa kijinga
Kisa kafa ndo unachongAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-77784153366704342622013-05-29T20:33:59.105+03:002013-05-29T20:33:59.105+03:00wasanii wote waungane kutokomeza hii radio ya mac...wasanii wote waungane kutokomeza hii radio ya machoko for ze respect of cow wizyAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-21294565203665809402013-05-29T20:29:48.782+03:002013-05-29T20:29:48.782+03:00We gat u majani.!uko sahihi kwa cc tuliokuelewa.!We gat u majani.!uko sahihi kwa cc tuliokuelewa.!Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/13074984648292311785noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-48979264026001829872013-05-29T20:28:56.098+03:002013-05-29T20:28:56.098+03:00Baada ya kifo ndo unaona ujitokeze au......mbona n...Baada ya kifo ndo unaona ujitokeze au......mbona ngwair hakuwah kusema k2 kuhusu nyimbo zake kupigwa cloudz..acheni 2umuenzi sehemu zote kwa kazi yake aliyofanya jaman,,,sio mda wakubishana nw...2uungane kumpumzisha kwa Aman na Kuenzi Mema yake,,,,R.I.P ALBERT MANGWEAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-7044613946550195672013-05-29T20:28:24.043+03:002013-05-29T20:28:24.043+03:00Makes no senseMakes no senseAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-50560229637844602112013-05-29T17:39:06.312+03:002013-05-29T17:39:06.312+03:00Safi sana p funk we support youSafi sana p funk we support youAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-34634158281189940982013-05-29T16:16:44.694+03:002013-05-29T16:16:44.694+03:00clouds wamemfanya nn saida karoli? Nauliza rakinclouds wamemfanya nn saida karoli? Nauliza rakinmubasthttps://www.blogger.com/profile/01317413922175344493noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-23030878245418422932013-05-29T16:15:43.059+03:002013-05-29T16:15:43.059+03:00saida karoli wamempeleka wap tna clouds?saida karoli wamempeleka wap tna clouds?mubasthttps://www.blogger.com/profile/01317413922175344493noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-63923788898376248902013-05-29T15:43:13.433+03:002013-05-29T15:43:13.433+03:00Mi nimemuelewa majani alichokisema kwamba sasa hiv...Mi nimemuelewa majani alichokisema kwamba sasa hivi wasipige nyimbo za mangwea ambazo zimetengenezwa kwenye studio yake kwakuwa clouds watachukulia ulaji kupitia Mangwea ambaye yeye ameshafariki na hatofaidika chochote na hizo promo za clouds, na yeye alitaka nyimbo hizo zisipigwe na clouds tangu mwanzo ila alihofia akitangaza hivyo Mangwea hatokuwa na promo kwahiyo sasa hivi ameshafariki zisipigwe ili wote wasipate promo, na ana uwezo wakusema nyimbo nyingi za wasanii waliorekodi kwake zisipigwe clouds ila anahofia wasanii watakufa njaa kwani kuna wasanii wengi walirekodiwa nyimbo zao na P Funk kwa mkataba naye. Big up P Funk. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-22040550484319198192013-05-29T15:41:01.713+03:002013-05-29T15:41:01.713+03:00ni kitu kizuri alichofanya p.funk alikuwa hai hawa...ni kitu kizuri alichofanya p.funk alikuwa hai hawakupiga nyimbo zake ila sasa ndo wanajifanya wanajua mi niliacha kuckiliza clouds kitambo sana Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-77585674038596661212013-05-29T15:06:47.718+03:002013-05-29T15:06:47.718+03:00sasa hzo namba mbona mmezifuta!kama cio uongo na u...sasa hzo namba mbona mmezifuta!kama cio uongo na unafki!achien namba zionekaneAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-27850477021013137732013-05-29T15:06:23.828+03:002013-05-29T15:06:23.828+03:00du! Ka series vile ngoja wenye midomo michafu 22li...du! Ka series vile ngoja wenye midomo michafu 22lie!Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/08896069416352658364noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-31556483733256415942013-05-29T15:05:07.381+03:002013-05-29T15:05:07.381+03:00achen hzo!!!mbona wabongo hamkoc cha kuongea???ebo...achen hzo!!!mbona wabongo hamkoc cha kuongea???ebooo!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-35503817950216277452013-05-29T13:18:10.455+03:002013-05-29T13:18:10.455+03:00Kwa nini kila siku clouds tu??!! Vibaraka wa cloud...Kwa nini kila siku clouds tu??!! Vibaraka wa clouds na msiotaka kuwaza nje ya box maxima mjue clouds nni waharibifu wa mziki na wasanii,I short ni chanzo cha chuki na dhulma,wazeni Saida karoli na wengine weengiii!!;;Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-15424839957970430582013-05-29T12:01:06.505+03:002013-05-29T12:01:06.505+03:00Jamani kuishiwa kubaya sana, hv hizo mismanagement...Jamani kuishiwa kubaya sana, hv hizo mismanagement za clouds zimejulikana baada ya Ngwear kufariki? Na kwa nn msitoe kwa uwazi ni kwa kivp hzo mismanagement zimechangia kifo cha Ngwear? Na je ni kwann kila msanii anapofeli Tanzania kisingizio ni clouds? Kwann wacjitafakari life styles zao mbaya za ulevi na madawa kuwa ndo zinaharibu maisha yao?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-20143083815810962422013-05-29T11:55:04.244+03:002013-05-29T11:55:04.244+03:00Majani na Bongo records waache unafiki, walikuwa w...Majani na Bongo records waache unafiki, walikuwa wapi kupiga marufuku kupigwa hizo nyimbo Ngwear akiwa hai? Wanatafuta umaarifu tu hao wanafiki na wasanii bongo hawataendelea kwa kuendekeza unafikiAnonymousnoreply@blogger.com