tag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post7471054037676673642..comments2023-10-24T18:35:14.722+03:00Comments on DJCHOKAblog: Tanzania's Entertainment Blog: (News) Katika mada yetu ya kumshauri msanii leo tuko na msanii huyu...Unknownnoreply@blogger.comBlogger37125tag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-72574761491210680852013-08-14T00:32:33.812+03:002013-08-14T00:32:33.812+03:00Ila me kwa kwel sielewagi huyu dada ana umaarufu w...Ila me kwa kwel sielewagi huyu dada ana umaarufu wa nini...kuigiza hajui, kuimba hawezi, kuwa video queen ndo kabisa...anang'ang'aniza tu kuwa maarufu kama bwanake timbulo ...me bado sana kumuelewa....aache kugawa hyo mbudia atakufa amuache mwanaeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-85422491058984091982013-08-06T15:12:35.244+03:002013-08-06T15:12:35.244+03:00Hana lolote muuza sura tu mwili,,kwanza kuimba haj...Hana lolote muuza sura tu mwili,,kwanza kuimba hajui ila madoido ndo mengi,,,,,,,,na wala hashaurikiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-28602957927693290572013-08-06T14:35:24.094+03:002013-08-06T14:35:24.094+03:00Kiukweli hawa cster wakishadaka mkwanja wanajisiki...Kiukweli hawa cster wakishadaka mkwanja wanajisikilizia kinoma tru punguza maringari
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-30901477419309782012013-08-06T10:00:25.736+03:002013-08-06T10:00:25.736+03:00Asikilize ushahuri wa watu,sinta kaongea alichoona...Asikilize ushahuri wa watu,sinta kaongea alichoona yy kama hawezi collabo na jlo coz ndio kwanza ana vijimbo tu vichache leo hii akafanye collabo na jlo na jdd wenye albamu watafanya na nani?si kwamba hawezi anaweza bt si kwa sasa alafu kama kweli kulikuwa na icho kitu alitakiwa awe mpole mpaka mambo yake sawa annze ku shout ndio labda angejaribu kutuambia izo mambo yake au ange simplfy tu nakusema nina ndoto za kuja kufanya na jlo collabo asimuone sinta mbaya hata mie nisiejua mziki na hanijui nasema hawezi kwa sasa akomae kwanza na east afrika aende mpaka nigeria ili apate exposure ndio aende huko awezi akazaliwa na kusimama moja kwa moja na nguvu zote bila hata kushika pahali au kutambaa.....mie alinikera kwa kweli kusema maneno yake ya shombo kwa sinta wakati yale ni mawazo ya sinta alitakiwa achukulie kama challenge then aje atoke kweli,si kwa chuki ila kwa upendo tu yy na sinta wote ni ma fun zangu,Hard work dada unaweza m/mnyamwezi mwenzangu

Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-62513637581623160082013-08-06T09:12:09.918+03:002013-08-06T09:12:09.918+03:00Mwambie akaze buti maana ye ndo mwakilishi pekee a...Mwambie akaze buti maana ye ndo mwakilishi pekee alie baki kutoka tabora wengne walisha sanda mwambie azid kukomaa na jiji cc tupo nae bega kwa begaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-17288005310956052182013-08-06T01:20:46.299+03:002013-08-06T01:20:46.299+03:00Kuna baadhi ya vitu aache kikbwa ni thamani ya mwi...Kuna baadhi ya vitu aache kikbwa ni thamani ya mwili wake. Barnaba, tash, timbulo, rich mavoco, young dee, ben pol, mabeste, dulayo duh mama huu sio ubina damu na madj sasa na producer ona haya wanaume wanahadhiana mimi kama msina mwenzio naumia nikisikia na kuona hivyoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-57291937908097927812013-08-06T01:13:30.006+03:002013-08-06T01:13:30.006+03:00Usiishi kwa kupoteza thamani ya mwili wako kila ms...Usiishi kwa kupoteza thamani ya mwili wako kila msanii ulioshirikiana nae ametembea na wewe na kila alieandika wimbo wako basi mwili wako anaujuaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-86823560345642891522013-08-06T01:11:30.497+03:002013-08-06T01:11:30.497+03:00Acha sifa za kijinga kuwa mskivuAcha sifa za kijinga kuwa mskivuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-23674448028618374982013-08-06T01:11:05.833+03:002013-08-06T01:11:05.833+03:00Video mbaya ipo youtube imeandikwa SHILLOLLEVideo mbaya ipo youtube imeandikwa SHILLOLLEAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-19359403014931621952013-08-06T01:10:25.168+03:002013-08-06T01:10:25.168+03:00Video ya nakomaa na jiji ni mbaya ipo youtube plz ...Video ya nakomaa na jiji ni mbaya ipo youtube plz rudia hiyo video itakushusha kama majanga ya snura. Video kama tour na sijui kama haijashutiwa na blackberry coz haijafikia ubora hata wa samsung na iphoneAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-47338584870309354422013-08-06T01:07:11.306+03:002013-08-06T01:07:11.306+03:00Niliona amepost kwenye instagram kuwa hamza balla ...Niliona amepost kwenye instagram kuwa hamza balla aka sirballa ndio meneja wake nikafurahi sana coz huyo jamaa ni mtu muhimu sana kwenye tasnia hii nimesha washudia zaidi ya wasanii 35 wakimzungumizia sirballa utendaji wake wa kazi na jinsi anavyo washauri wasanii. Lakini nasikia shilole si msikivu na anapenda kusikiliza vitu pembeni ndio maana yupo na sirballa lakini yeye hadiriki. Aige mfano wa wenzake waoenda kufata ushauri kwa meneja wake. Shilole badirikaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-55618148759608864342013-08-06T00:58:21.932+03:002013-08-06T00:58:21.932+03:00Mimi ni rafiki yake instagram niliona ame mbrodcas...Mimi ni rafiki yake instagram niliona ame mbrodcast meneja wake anaitwa sirballa. Ni mtu maarufu hasa kwa wasanii wa bongo na makampuni na serikalini coz ni mchapaka kazi. Huyu sirballa huwa anawashauri wasanii na kuwasaidia sana ila kwa nini hamsaidii shilole aache ulimbukeni wa kuongea upuuzi kwenye mediaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-18331621507781201782013-08-06T00:55:06.821+03:002013-08-06T00:55:06.821+03:00Choka shilole anaswa apate watu wa ushauri ni mbis...Choka shilole anaswa apate watu wa ushauri ni mbishi sana hapendi kiambiwa ukweli mi huwa nakuwa sana maeneo ya jakalanda pub huwa namsikia akishauriwa ila huwa aelewi
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-22347730265135201782013-08-06T00:52:08.179+03:002013-08-06T00:52:08.179+03:00Shilole acha kuongea biasha ya muziki au kuchukua ...Shilole acha kuongea biasha ya muziki au kuchukua show bila kumshirikisha meneja wako. Hujui kuongea kwenye media utaweza biashara. Nakueleza ukweli coz radion huwa unasema unameja lakini juzi juzi umemsnich umekuja jirani ya kwangu ukwa unaongea na simu kuhusu show ila hukusema ongeeni na meneja wangu acha usn8ch dadaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-30827796749091751242013-08-06T00:42:59.920+03:002013-08-06T00:42:59.920+03:00Shilole mamneno yanakuponza unayo ambiwa mitaani s...Shilole mamneno yanakuponza unayo ambiwa mitaani sikiliza watu wanaokuambia ukweli achana na maneno ya watu wanaokusifia ujingaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-40334478587531848182013-08-06T00:41:22.518+03:002013-08-06T00:41:22.518+03:00Choka angalia youtube uone video alio fanya mareka...Choka angalia youtube uone video alio fanya marekani halafu akikaa kwenye media anajisifia duh video ni mbaya mbaya sana. Ingia youtube andika SHILLOLLE usiandike SHILOLE NI utumbo ulioje angalu then uiweke kwenye blog yako then watu watoe comment zaoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-64060090441667130332013-08-06T00:36:59.321+03:002013-08-06T00:36:59.321+03:00Mi namkubali sana dada angu nilikua naisubiri kwa ...Mi namkubali sana dada angu nilikua naisubiri kwa hamu video aliyo shoot usa leo katika pita pita zangu yutube nimekutana nayo duh ni mbaya sana plz usiichaie hiyo video ni mbaya itakushusha dada anguAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-81036904339028637152013-08-06T00:33:55.909+03:002013-08-06T00:33:55.909+03:00Choka mwambie shilole akitaka kufakiwa katika mais...Choka mwambie shilole akitaka kufakiwa katika maisha yake. Asipende kupokea sifa za kijinga na kuchukia ukweli. Kama anamtu anaemsimamia kimziki anapswa kumkanya kujisifia ujinga ktk radio na tvAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-25797520531462981242013-08-05T23:19:10.539+03:002013-08-05T23:19:10.539+03:00kazushiwakazushiwaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/06057692865915510894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-69373139603071237812013-08-05T22:16:14.441+03:002013-08-05T22:16:14.441+03:00Shulole anatisha aisee
Shulole anatisha aisee
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-45657567843460862962013-08-05T19:39:38.401+03:002013-08-05T19:39:38.401+03:00Aache uswahili bwana.ni mswazi kupitiliza,na akuba...Aache uswahili bwana.ni mswazi kupitiliza,na akubali challenge.na ajieshimu japo kidogo basi huku akitambus yeye ni Mama.badilika bwanaMrs Adoa(Mama Grace)noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-64775805510470068512013-08-05T19:19:58.698+03:002013-08-05T19:19:58.698+03:00Arudi shule ili haweze kutanua zaidi mziki wake vi...Arudi shule ili haweze kutanua zaidi mziki wake vinginevyo she iz on fire am out Nukta (.)Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/13825287655882255601noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-1874879316799142642013-08-05T17:45:21.867+03:002013-08-05T17:45:21.867+03:00Shilole wewe ni kioo cha jamii ila skendo zako huw...Shilole wewe ni kioo cha jamii ila skendo zako huwa zinanikera mara umeiba cmu mara umelewa 2pilia mbal skendo hizo kwa leoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-23403406348923382142013-08-05T17:45:05.106+03:002013-08-05T17:45:05.106+03:00Mi nampenda shilole in shot en namshauri akaze but...Mi nampenda shilole in shot en namshauri akaze buti en amjue mungu pia..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1569412817012086223.post-74491725449356547562013-08-05T17:44:44.999+03:002013-08-05T17:44:44.999+03:00 Ili miuno ktk stegi atavunja ndoa za watu bwana Ili miuno ktk stegi atavunja ndoa za watu bwanaAnonymousnoreply@blogger.com