22.11.13

Saturday, April 07, 2012

MSANII BARNABAS KUTOKA THT APATA MTOTO WA KIUME.

Wakati watanzania wakiwa kwenye majonzi makubwa kwa kuondokewa na kipenzi cha Steven Kanumba. Mchana leo majira ya saa 6 msanii kutoka THT Barnabas amepata mtoto wa kiume na ili kumuenzi Kanumba ameamua kumpa mtoto wake jina la STEVEN BARNABAS

5 comments:

patastories said...

Hongera sana kaka!

patastories said...

Hongera sana kaka!

Anonymous said...

Safi xana Barnaba umenifurahisha xana kwa ktendo chako cha kumpa mwanao jina la Steven yan ni ishara nzur ya kumuenzi. I LIKE DAT BROTHER

Anonymous said...

Safi xana Barnaba umenifurahisha xana kwa ktendo chako cha kumpa mwanao jina la Steven yan ni ishara nzur ya kumuenzi. I LIKE DAT BROTHER

Anonymous said...

Safi sana barnaba kwa kumpa mtoto wako jina la steven ni moja ya ishara ya kumuenzi kanumba,dah! R I P Kanumba camin kwakwelii