22.11.13

Saturday, April 07, 2012

WADAU WATOA HISIA ZAO KWA JINSI WALIVYOGUSWA NA KIFO CHA STEVEN KANUMBA.

I-VIEW MEDIA
We had argument few days ago with kanumba concerning this photograph which is a movie cover named MOSES... TWICE HE MENTIONED TO ME THAT THIS IS HIS FAVOURATE PHOTOGRAPH EVER..
THIS PHOTO WILL HAVE ITS USE AT HIS FUNERAL IF THE FAMILY ALLOW US TO DO SO

JAKAYA MRISHO KIKWETE
Nimepokea kwa mshtuko na huzuni nyingi taarifa za kifo cha Ndugu Steven Charles Kanumba. Kupitia filamu zake, ameburudisha na kuelimisha jamii yetu kwa namna ambayo haiwezi kupimika. Alikuwa msanii mahiri na mwenye kipaji kikubwa ambaye mchango wake mkubwa katika kuanzisha, kukuza na kuimarisha sanaa ya filamu nchini hautasahaulika. Kanumba pia ametoa mchango mkubwa katika kuitangaza nchi yetu ya Tanzania mbele ya mataifa mengine kupitia sanaa ya filamu na uwezo mkubwa wa kisanii. Tutaendelea kumkumbuka kwa mchango wake huo kwa nchi yetu. Namwomba Mwenyezi Mungu awape subira na nguvu wadau wote wa tasnia ya filamu nchini za kuweza kuhimili kipindi hiki kigumu kwa sababu yote ni mapenzi yake. Aidha, naungana na wanafamilia na wasanii wote kuwomba Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, aiweke pema peponi roho ya Marehemu Steven Charles Kanumba. Amen.

REGINALD MENGI (M/kiti wa makampuni ya IPP).
Its always very painful to lose young talents. R.I.P Kanumba

PROF JAY (Bongo Fleva Artist)
Daaah Gone too soon...REST IN PEACE KANUMBA THE GREAT.


PRODUCER MANECKY kutoka AM REC
Kama studio hivi nagonga ngoma flan yenye fillings kali mana naona kama Roy vile ilivyokuwa kama story kumbe kweli The Great ndo Katangulia..Mungu amlaze Mala Pema PePoni

WAKAZI (Bongo Fleva Artist)
Sijawahi kukutana na STEVE KANUMBA na wala sijawahi kuona Movie yake hata Moja, ILA impact yake kwetu ilinilazimu kumuweka in my Punchline in a Song called HIGHER "...Baller Kutoka Ukonga kama Sheby Kazumba/ Plus My Life is a Movie, Steve Kanumba/..." 

Only GREAT People have had the Priviledge of makin it on my Name drop List, and for that, You didnt make a mistake callin your self just that.... Rest In Peace Steve Kanumba The Great!! © Wakazi

ROMA (Bongo Fleva Artist)
Dakika...chache baada ya show yangu ya musoma!! Napata taarifa za huu msiba wa THE GREAT K.A.N.U.M.B.A....sikuamini mpaka nilipopiga simu kwa mmoja wa mtu wake wa karibu na kunijibu huku analia kuwa bro hatunaye kweli na ndo' wao wanatoka muhimbili!!....ni msiba mzito na umewagusa wengi nikiwemo!! Pole sana kaole...pole game 1st quality...pole kwa mpinzani wake mkubwa Ray....pole kwa ben swahiba wake sana....dah pole kubwa kwa pacho mwamba!familia yake Na bongo movie wote...pamoja na watanzania wote!! TUTAKUKUMBUKA KWA MENGI KAKA STEVE.....Tumuombee ndugu ye2 apumzike pema peponi!!na asamehewe dhambi zake!! Oooh kaka umetuacha ukiwa angali mdogo...inauma sana!!


MRISHO MPOTO (Bongo Fleva Artist)
NILIDHANI NIMESHAZOEA KUSIKIA HABARI ZA KUSHITUA, LAKINI KWA HII YA KANUMBA? SINA NGUVU TENA, KAMA MOSHI UMEKWENDA HAUTARUDI, KAMA JANI KWENYE MTI LIKIDONDOKA HALIRUDI. KANUMBA TUPE ANGALAU DAKI MOJA TUKUAGE RAFIKI YANGU, NAKUMBUKA UTANI WETU "FITINA MWAKA WAKO HUUMOJA" UMIMEBAKI HISTORIA KWELI? RUDI JAPO TUSEME NENO KWAHERI


MILLEN MAGESE (Fashion Model)
Rest in Peace my friend...you create jobs ,you believed on our own...and you took them as ur own and give them opportunities to believe on themselves and be who they wanna be and take acting as their career....Where do they go now.....Kanumba!!!? Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi...Pigo la taifa jamani..Poleni Kaole poleni Tanzania...!


SOLO THANG (Bongo Fleva Artist)
R.I.P STEVEN KANUMBA,,,Mungu amekupenda zaid,,Pole kwa familia na ndugu wa karibu na wapaenzi wa bongo movie kwa ujumla,,,gone too soon Hommie!


JOYCE KIRIA (Mtangazaji)
sio Watengeneza Film tu, ila Watanzania tumepoteza kijana muhimu sanaa katika nchi yetu. Kifo hakikutenda haki kabisa, Kifo amekuwa mkatili na kila maneno tutasema. Ila mwisho wa siku tunasema Mapenzi ya Mungu yatimizwe. Bwana ametoa, na Bwana ametwaa jina la Bwana libalikiwe
AY (Bongo Fleva  Artist)
R.I.P Steven Kanumba!tulishauriana,tulipeana msukumo kwa mambo ya maendeleo binafsi na ya industry zote mbili.umezimika kama mshumaa uliokuwa unawaangazia wengine,wote tupo njia moja..Mungu akulaze mahali pema peponi

13 comments:

aliko mwaikambo said...

kwa kweli choka inasikitisha sana hasa kwa msela huyu ambye nimekumbuka sana mambo yake tukiwa shule ya msingi BUGOYI pale shinyanga

Anonymous said...

Naitwa MSAMI (THT)
Kanumba was my favourite actor kwa kweli roho inauma sana, even kwamba am not sure, coz nahisi km ni ndoto, anyway KANUMBA as your Great u did great let us say ,,,,, R.I.P

Jay De Nestory said...

I always loved your work Steven Kanumba but today am greeted with such tragic news. Already micin u. Gone Too Soon Brodah. R.I.P!!!

Anonymous said...

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe..ameen

Anonymous said...

We also feel so sorry sisi chipkizi wa pwani .personal mimi jab-j natuma risala zangu za rambirambi kwa familiayake na Jamaa sake na walimwengu wote. Inalilahi inaileihi rajiun

Anonymous said...

Mimi jab-j natuma risala za rambirambi kwa wapenzi wa filamu za kitanzania

dogojohnson said...

kaka so sad ila mungu hakosei na sheria itende haki kwa lulu kama
hana hatia awe free!

YOUNG 50 BONGO FLEVA ARTIST said...

to soon kaka we alwyes be miss you REST IN PEACE STEVE KANUMBA

Anonymous said...

We had too many young and old stars in movies but the guy fight to make he stay on the top, he introduce our country through his talent. U will always be missed STEVEN KANUMBA rest in peace bro..

Anonymous said...

Alipangalo Mungu hakuna mwanadamu wa kulizuia, Ila Lulu msimhukumu kwanza tuaachie mhk (ila jmn kuna wanaume wanaojua kutupiga wnwk jmn unampenda mpk hamu ya kumpenda inapotea sababu ni hayq mpz kweli mpz yanatesa yanaua,yanaleta kilema, yanavuruga familia) Mungu amsamehe dhambi zake za siri na zadhahiri na amuondolee adhabu za kaburi, jmn tumuombe MUNGU ampe mamayake na wanafilia wt nguvu na uvumilivu na subira ktk kipindi hiki kigumu (sote njia yetu nihiyo akuna atakaekwepa)

Anonymous said...

ATAKAE TANGAZA NIA SHINYANGA MJINI KUKIONA.---KANUMBA AMEKIPATA................
Habari imeeleza kuwa yeyote atakaye tangaza kugombea ubunge jimbo la shinyanga mjini hatari ipo mbele yake, hii inatokana na mmliki wa Jimbo hilo Mh steiven Masele kujipanga kuhakikisha ana wamaliza wabaya wake wote kwa ndumba.

Alianza na Shelembi mtu ambaye si tu kwamba alipendwa sana mjini Shinyanga pia ndiye aliyeshinda ubunge wa hilo jimbo mwaka 2010 lakini hakutangazwa, baada ya muda mfupi alifariki dunia na tetesi zinasema aliuwawa na mganga wa Steiven Masele ambaye anaishi huko Mwamadulu ambaye ni mama yake na mbunge huyo kijana anayeendekeza sana ushirikiana. Kifo cha Shelembi kimetokea karibuni mwaka mmoja sasa umepita na CHADEMA mkoa wa shinyanga wako kwenye maandalizi ya kumbukumbu yake.

Muda si mrefu Kanumba alichukua kadi ya chama cha demokrasia na maendeleo kwa msaada mkubwa wa mwenyekiti wa BAVICHA John Heche, ana Heche alikuwa anampigia chapuo kwa viongozi wa chadema taifa ili awe mgombea wake kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 kwa ngazi ya ubunge mjini Shinyanga.

Mtoa habari hizi amedai kuwa baada ya bwana masele kugundua kuwa popularity ya bwana kanumba ni kubwa njia pekee ni kumuondoa duniani, wengine wanaotajwa kwa majina kuwa wako kwenye orodha ya kutangulia mbele ya haki kama tu watatangaza nia au watajaribu kugombea jimboni humu wameonywa, ndugu Tumbo ambaye siku za karibuni amekuwa akipigana kumbo na viongozi wa mkoa hapa shinyanga kwa lengo la kugombea uenyekiti wa mkoa ili baadaye aje ajiteuwe kuwa mgombea wa ubunge wa jimbo hilo.

Mwingeine ni Rachel mashishanga ambaye ni mbunge wa viti maalum amabye naye kwa kutumia wapambe wake amekuwa akuhusishwana hizo tetesi za kutaka kugombea na aliwahi kusikika katika mkutano wa kampeni kata ya masekelo akiwasihi wananchi wamchague diwani wa Chadema ili wampe moyo wa yeye kugombea hilo Jimbo, mara tu baada ya kauli yake hiyo siku mbili baadaye alianza kuumwa miguu kiasi amabcho alishindwa hata kutembea na sidhani kama bado ana hiyo nia.

Vijana wengine wa Shinyanga pia wameshatangaza hizo nia wengine kupitia mitandao ya kijamii, kuna huyu mmliki wa forum ya shinyanga tunayoitaka ameshatangaza kuwa atagombea kupitia ccm lakini hana madhara kwa ndugu masele ndiyo maana bado anaishi, Huo ni muendelezo wa siasa za kichawi kanda ya ziwa.

Ikumbukwe kuwa jimbo la solwa ambalo ni jimbo jirani na shinyanga mjini mwaka 2000-2004 liliwahi kuuwa wabunge wanne na dawa hiyo nasikia ndiyo iliyohamia mjini shinyanga kilimalizia chanzo cha taarifa hiyo- HUU NI UKWELI ATUNA MUDA WA KUSEMA UONGO ILI USAIDIE NINI?

Shack vinne said...

For sure kanumbas death has shocked me and i knw many Tanzanians feel the same way this proves hw special he was 2 u RIP brother

Anonymous said...

Lulu ndie alosababisha kifo cha steve kanimba,mshenz malaya mdogo uyo,asiachiwe hata iweje