22.11.13

Tuesday, March 17, 2009

STYLE MPYA NA MTOTO MPYA - Mh. Temba.

Ni furaha nyingine tena ndani ya familia ya Mh. Temba, kwani ahadi aliyokuwa ameiweka ya kuja kupata mtoto wa kike imetimia. Mh. Temba amepata mtoto wa pili na jina amemwita MISHELL.
Kundi la Wanaume Family wamekuja na style yao inayoitwa FUNIKA FUNUA, style hiyo ipo kwenye video mpya ya Mh. Temba inayoitwa Maneno Nawafunza ambayo inapatikana kwenye album yake mpya inayoitwa Mtoto wa Kichaga. Video hii imefanywa na kampuni mpya inayoitwa OUT COME. haya jionee mwenyeeeeeeeee

MANENO NAWAFUNZA.

2 comments:

Anonymous said...

mh temba hongera mtu wangu, nachokuomba walinde watoto wako, hivyo ni vizazi vijavyo

Anonymous said...

nakufagilia sana mheshimiwa, hammida hapa tulikuwa pamoja jite