22.11.13

Tuesday, March 30, 2010

LEO MCHANA NILIENDA KUSAFISHA KABURI LA FATHER NELSON.

Kibao kinachokuelekeza eneo yaliyopo makaburi.

Huyu alioko mbele hapo ni Pacha nilimfuata Kijenge juu ili aweze kunionyesha sehemu alipolazwa Marehemu Father Nelly wa Explastaz

Hapa ndipo mwili wa braza Nelly ulipolazwa,
JANA ILIKUWA SIKU YA KUKUMBUKA KIFO CHA NELSON CHRIZOSTOM BUCHARD
ALIZALIWA: 18-02-1976
AKAFARIKI: 29-03-2006
"Heri yule afaye katika upatanishi maana atauona ufalme wa mbingu"
R.I.P

Kiukweli sikuwahi hata siku moja kumuona uso kwa uso huyu jamaa...ila nilikuwa napenda mziki wake sana na siku ambayo niliambiwa amekufa nilishtuka sana na nilisema ipo siku ningekuja hapa angalau nisafishe kaburi lake na hatimaye siku ilifika.
Rest In Peace BRO.

Marafiki zangu kutoka Atown tuliokuja nao eneo hili
Kuanzia kushoto ni

Adomido, djchoka, Pacha na Gullam hawa jamaa wanatokea Kijenge Juu

4 comments:

Anonymous said...

Choka wewe ni mfano unaotakiwa kuigwa na jamii kwa kweli daaah
umenifanya kunikumbusha hata me bwana

husna said...

jamani daah nimekukubali choka na pole na safari uliyokuwa unaifanya huko atown

musa said...

one love...hii imetulia kwa kweli

Anonymous said...

Ubarikiwe sana, wale wakumbukao waliyekwisha tangulia kwenye hati, nao hupata fungu lao kwa Mungu.
Mungu amrehemu.


disminder.