22.11.13

Tuesday, March 30, 2010

NILIPITA KIJENGE JUU.

Nilipita eneo hili la Kijenge Juu kwenye Studio ya WATENGWA, lakini kulikuwa sio kama zamani nadhani JCB akirudi aniambie inakuwaje hapa mbona studio imehamishwa bwana. JCB yupo Nairobi so niliwakuta wana tu wakiwakilisha street

Hili chata lipo ndani unapoingia lazima utalikuta tu upande wako wa kulia.

Wachonifurahisha Atown ni kwamba wanapenda sana kuprint ma tishet yenye majina yao au lazima utakuta tishet limeandikwa mkoa wao.

No comments: