22.11.13

Monday, March 29, 2010

ZIARA YANGU INAENDELEA NIPO ARUSHA

Mchana huu nilikuwa nafanya mahojiano katika radio ya Triple 'A'

Ndugu zangu baada yakutoka Uganda kwenye kongamano la Ma VJ's sasa hivi nimeweka kambi kidogo Arusha. Nimekuja huku kuja kuangalia vipaji tofauti tofauti ili kukamilisha ndoto yangu, nampango wa kukutana na Producer DX na mungu akijalia nitakwenda Kijenge Juu ilipo studio ya WATENGWA.

No comments: