22.11.13

Thursday, April 15, 2010

BAADA YA MIAKA MITANO WAMEKUTANA.

Mansu-li na Antonio Nugaz vijana waliopiga shule pamoja pale Azania (Aza Pound) wakutana baada ya miaka mitano toka 2005 hadi 2010. Walikuwa wanapisha mjini humu humu kweli huyu busy hafai kabisa.

No comments: