22.11.13

Sunday, April 11, 2010

HONGERA NDUGU YANGU KWA KUPATA JIKO

Msanii mkali wa R&B wa hapa kwetu Bongo anayejulikana kwa jina la Q. Jay jana majira ya jioni pale kanisani St. Peter alifunga pingu za maisha na mwanadada Elizabeth na jamaa kula viapo vyote vya ndoa.
Mimi namtakia maisha mema ya ndoa yake na mda mfupi kabla sijaandika habari hii nilimvutia waya jamaa alikuwa na furaha nyingi sana na kuniambia anaenjoy sana mapumziko anayoyapata hapo maeneo ya Kawe mida hii.

1 comment:

Sarp said...

LOL..hongera zao..pcha basi za harusı