Ndugu zangu kwa wakati huu wa Pasaka mimi napenda tusherehekee kwa amani na Familia zetu au kama unatoka out basi punguza kilevi kama unajua unaendesha gari.
Hizi ni nyama choma za mjini Kampala Uganda, tulienda sehemu moja na mwenyeji wetu na katupa bata refuu sanaaaaaaaaaa.
Huyu anaitwa Sarah ni mama wakiganda mwenye watoto 4, alikuwa mwenyeji wangu kwa siku zote nilizokuwa huko Kampala na kuhakikisha nimerudi salama, Thanx sana Sarah.
No comments:
Post a Comment