Hii niliipenda sana, alipopanda Fid Q aliwaita wananchi waliofika pale Coco Beach kwamba waje katikati na wacheze kwa pamoja sio kukaa kwa mafungu kama picha zinavyoonyesha hapo juu walivyokaa.
Wasanii wengine waliopanda ni pamoja na Joh Makini akiwa na GNako pamoja na Niki wa Pili, mwingine ni Diamond, Chege na Temba na wengine kibaoooo.
Wasanii wengine waliopanda ni pamoja na Joh Makini akiwa na GNako pamoja na Niki wa Pili, mwingine ni Diamond, Chege na Temba na wengine kibaoooo.
No comments:
Post a Comment