Hicho kifaa wanachokitazama hawa ndugu ni Hard Drive ya mtu mzima Pinyee ambayo alikuja nayo, yaani huu ni kama mkoba wake wa CD.
Jamaa akaanza show rasmi na mtu mzima alipiga ngoma za huwakika kweli kweli...hadi majira ya saa 10 ndio niliangalia saa yangu.
Pinyee alikuwa anacheza na Laptop halafu anakwenda kwenye mashine....nimejifunza mengi sana kutoka kwake kwa siku hii.
5 comments:
kaka kumbe ulikuwa nyuma kihivyo?hivi bongo hamna ma dj wanaotumia serato na tools nyingine za ku dj?
dj pinye thats the man hafanyi kuiga no i luv the show on mtv coz the beat is hot!!!
TK baby unavuta
jamani sema kweli tk ni mzuri..mhhh aloooo mtoto ndani ya jiji mpaka raha..mama U-TURN fulu kukasirika..heheh..TK dia u gud lukin.mwaah
endelea kukaza buti kaka 2ko pamoja arifu
Post a Comment