22.11.13

Thursday, April 01, 2010

WALIONGIA KWENYE TUNZO ZA KILI MWAKA HUU.

Mkurungenzi masoko wa TBL Bw. David Minja akiwa na meneja wa Kilimanjaro bia Bw. Georger Kavishe wakiwa katika mkutano wa kutangaza wasanii walio ingia katika vinyang'anyiro vya tunzo za Kili mwaka huu.

Wanaowania tunzo ya Mwimbaji bora wa kike.

Lady Jaydee
Mwasiti Almasi
Maunda Zorro
Vumilia Mwaipopo
Khadija yusuphu

Wanaowania tunzo ya Mwimbaji bora wa kiume

Marlow
Banana Zorro
Mzee Yusuphu
Ally Kiba
Christian Bella

Wanaowania Albamu Bora ya Taarab

Jahazi Modern Taarab (Daktari wa Mapenzi),
Five stars Modern Taarab (Riziki mwanzo wa chuki),
Coast Modern Taarab (Kukupenda isiwe tabu),
New Zanzibar star (Powa mpenzi),
East African Melody (Kila mtu kivyakevyake).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Taarab inawaniwa na

Daktari wa mapenzi (Jahazi Modern Taarab),
Roho mbaya haijengi (Jahazi Modern Taarab),
Msitujadili na Riziki mwanzo wa chuki (zote Five stars Modern Taarab),
Kupenda isiwe tabu (Coast Modern Taarab).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Mwaka inawaniwa na

Marlow (pii pii - Missing my baby),
Diamond (Kamwambie),
Banana Zorro (zoba),
Hussein Machozi (Kwa ajili yako).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Kiswahili kwa upande wa bendi ni

Machozi Band (Nilizama),
African Stars Band - 'Twanga pepeta' (Mwana Dar es salaam),
Top Band (Asha),
FM Academia (Vuta nikuvute),
Extra Bongo (Mjini Mipango).

Tunzo ya Albamu Bora ya Bendi inawaniwa na

African Stars Band - 'Twanga pepeta' (Mwana Dar es salaam),
Kalunde Band (Hilda),
Msondo Ngoma Music Band (Huna Shukrani).

Tunzo Bora ya Wimbo Bora wa R&B wanaowania ni

Belle 9 (Masogange),
Diamond (Kamwambie),
A.T na Stara Thomas (Nipigie),
Maunda Zorro (Mapenzi ya Wawili),
Steve (Sogea Karibu).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Asili ya Kitanzania inawaniwa na

Mrisho Mpoto (Nikipata Nauli),
Machozi Band (Mtarimbo),
Offside Trick (Samaki),
Wahapahapa Band (Chei Chei),
Omari Omari (Kupata Majaaliwa).

Wanaowania Tunzo Wimbo Bora wa Hip Hop ni

Joh Makini (Stimu Zimelipiwa),
Quick Racka (Bullet),
Chid Benz (Pom pom pisha),
Mangwea (CNN),
Fid Q (Iam a professional).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Reggae inawaniwa na

Hemed (Alcohol),
Dabo Ft. Mwasiti (Don't Let Go),
Man Snepa (Barua),
Matonya Ft. Christian Bella (Umoja ni Nguvu).

Kwa upande wa Wimbo Bora wa Ragga, wanaowania ni

Dully Sykes (Shikide),
Bwana Misosi (Mungu yupo bize),
Drezzy Chief (Wasanii),
Benjamin wa mambo jambo (Fly).

Tunzo ya Rappa Bora wa Mwaka inawaniwa na

Chokoraa
Ferguson
Kitokololo
Totoo ze bingwa
Diouf

Tunzo ya Msanii Bora wa Hip Hop ni

Joh Makini
Chid Benz
Mangwea
Profesa jay

Tunzo ya Wimbo Bora wa Africa Mashariki inawaniwa na

Blue 3 Ft. Radio and Weasal (Where you are),
Kidum Ft. Juliana (Hturudi nyuma),
Cindy (Na Wewe),
Radio and Weasal (Bread and Butter),
Kidum (Umenikosea).

Tunzo ya Mtunzi Bora wa nyimbo ni

Mzee Yusuphu
Mrisho Mpoto
Lady Jyadee
Banana Zorro

Tunzo ya Mtayarishaji Bora wa Muziki ni

Lamar
Marco Chali
Hermy B
Allan Mapigo
Man Water

Video Bora ya Muziki wa Mwaka inawaniwa na

Lady Jaydee (Natamani kuwa Malaika),
Diamond (Kamwambie),
AY (Leo),
Banana Zorro (Zoba),
C Pwaa (Problem).

Tunzo ya Wimbo Bora wa Fro Pop inawaniwa na

Banana Zorro (Zoba),
Ally Kiba (Msiniseme),
Marlow (Pii pii - Missing my baby),
Mataluma (Mama Mubaya),
Chegge (Karibu kiumeni).

Tunzo ya Msanii Anayechipukia
Belle 9
Diamond
Barnaba
Quick Racka
Amini

Tunzo ya Wimbo Bora wa Kushirikiana unawaniwa na

AT na Stara Thomas (Nipigie),
Mangwea na Fid Q (CNN),
Barnaba na Pipi (Njia Panda),
Mwana FA na Profesa Jay na Sugu (Nazeeka Sasa),
Hussein Machozi na Joh Makini (Utaipenda).

1 comment:

Anonymous said...

HAPO ATASHINDA LAMAR,MARLOW, BANANA, JOH MAKINI, BELLA 9, DIMOND, JAY DEE, OFFSIDE TRICK.....UNAJUA HII KUNA WATU WAMEWEKA WATU WAO TAYARI. MIMI MDAU NILIKUWEPO SIKU ILE NA HIYO NDIYO SIRI NZITO, MHAYA MOJA ANAHUSIKA KUIUWA KILI AWARDS SABABU KAITAFUTA KWA UVUMBA TOKA LONGTIME NA NDIYO MAANA RADIO YAKE ILIKUWA INAIPONDA SANA KILI SASA UTAONA KWA SASA WATAKAVYOISIFU MAANA WANAJUA WASANII WAO WATAPEWA MKWANJA NA AWARDS HIZO, HIYO MBINU NZIMA IMECHONGWA NA DADA MAEMBE WA ONE PLUS,HII NI JITIHADA YA LONG TIME SASA MAMBO NI SAFI. POLE KWA TBL MAANA INAONEKANA HUYU GEORGE KAVISHE HAJUI KAMA HIYO KITU ILIKUWA IKITAFUTWA NA HAO MAFISADI WA MUZIKI TANZANIA PIA POLE KWA WADAU NA WASANII WENGINE. THT HOYEE!

mdau ( Safarini )