Shaa hapa alikuwa anaongea na shoga yake,
"Hivi shoga yangu huyu kiumbe hapo tumboni kwako amebakiza miezi mingapi..? maana naona kama unakosa raha yakujiachia kama tulivyokuzoea shostiiiii"

1 comment:
Chezzeya wewe Choka!! Huchelewi?? Safi!!- Mizandastood
Post a Comment