22.11.13

Saturday, May 29, 2010

WEEKEND NJEMA WADAU.

Mimi leo mchana nilialikwa chakula nyumbani kwa dada yangu Melisa na hawa hapa nipo na watoto wake, huyu mwenye nywele nyingi ndio Sia Bonga.

1 comment:

Unknown said...

hapo ndo unapokubalika my man unapenda kujichanganya kwa sana.nimekukubali hadi kwa watoto.safi sana