Mnyange wa Miss Pangani 2010 Aziza Khalifa akiwa katika uso wa furaha mara baada ya kutangazwa mshindi wa wilaya hiyo. Mshindi wa pili alikuwa Asha Athumani huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na Stella William. Wilaya ya Pangani imeweka historia baada ya kutoa Miss wa kwanza kwa mwaka huu wa 2010.
Mwandaaji wa Miss Pangani 2010 Bwana Mohammed Hammie maarufu kama Anko Mo akiwa katika picha ya pamoja na warembo.
No comments:
Post a Comment