BADO NA COMPLIMETARY ZENU WADAU.
Leo natoa tiketi 20 kwa watu watakao taka kuja pale Sanaa Pub, tiketi 10 kwa wanadada na 10 kwa wanakaka...tukutane pale kuanzia saa 3 usiku tupate fleva zilizokwenda chuo huku tukibadilishana mawazo na wanafunzi wa vyuo mbali mbali vya hapa Dar es salaam.Tucheki kupitia
+255 754 576208.
1 comment:
LEO au jana>>?
Post a Comment