22.11.13

Thursday, June 24, 2010

GEITA TUMEKARIBISHWA VIZURI SANA.

Hotel ambayo tumefikia ndio hii hapa ndugu zangu, tutakuwa hapa kwa mda wote ambao tutakuwa hapa Geita.

Hapa ndipo napopumzisha ubavu wangu jamani

Nilipoingia chumbani kwangu nilikutana na maandishi ya kithungu...tusaidiane

Mazingira ya nje yanaonekana hivi, nimepapenda

Joh Makini

1 comment:

Anonymous said...

Sijui kwanini nampenda huyu Joh Makini,ki ukweli sitaki kukutana nae mana ntavunja ndoa yangu!ila kiukweli namfeel sana kuna siku nilimwona pale millenium tower wakati narudi nyumbani kidogo nigonge gari mana dah..hv ni kabila gani huyu?