Jumapili hii nimeamua kutulia nyumbani na mda mfupi nilikwenda kupima macho pale Sinza Eyes iliyopo maeneo ya Sinza Kumekucha.
Nawashukuru sana kwani nilipokelewa vizuri na sasa ndio nitaganda kwenye laptop maana nilikuwa siwezi kukaa sana macho yalikuwa yanatoka machozi nikitaka kufanya kazi zangu kwa mda mrefu.

No comments:
Post a Comment