Nikiwa kama mpenzi mkubwa wa timu yangu ya nyumbani
Taifa Stars nawatakia mechi njema leo zidi ya
Brazil. Nachowaomba ndugu zangu kazeni na tukilipata goli hata 1 basi wote rudini nyuma mzibe kila pahala ili tuondoke na furaha.
Musa Mgosi mchezaji wa timu ya Taifa Stars & DJ Choka
No comments:
Post a Comment