22.11.13

Friday, June 04, 2010

Mda huu nikiwa hapa Officen kwa Ray Kigosi, nimepewa DVD ya MY DREAMS 3




CD ya Movie ya MY DREAMS Party 3 ambayo ilikuwa bado haijatoka imeingia mtaani kwa kishindo baada ya watu wengi kuiulizia kwa muda mrefu. Ray amepokea simu na email za wapenzi wangu wa movie kwa kunipongeza kwa kazi nzuri niliyoifanya kwenye hii movie nami nasema akhsante nawashukuru kwa sapoti yenu.Wale wa nje ya nchi mtawasiliana nami kwa kupata cd original kupitia email zangu hapo juu. Kaeni mkao wa kula kwa kitu kipya cha SURPRISE



Cover ya movie ya MY DREAMS Party 3 kwa mbele

1 comment:

Anonymous said...

halafu mbona mshamba sana wewe ndgu yangu sasa hizo pozi gani?ina maana ulitaka utuonyeshe hzyo mavi ya tattoo au nini?kama ungetaka tuone tattoo usingee kishamba hivyo au sio bwana.poa lakini kibongo bongo fresh