Medali ya Grand Gold kwa Ndovu.
Cheti cha ushindi wa tuzo.
Ndovu Special Malt ikitangazwa mshindi wa tuzo ya Grand Gold
Oscar Shelukindo na Mzee Gaudence Mkolwe wakipokea Grand Gold Award ya Ndovu Special Malt jijini Wiesbaden, Ujerumani, usiku kuamkia leo.
Oscar Shelukindo
Furaha na fahari ya Grand Gold Award ya Ndovu Special Malt.
Mmoja wa Watanzania waishio ujerumani akijiunga kushangilia ushindi wa Ndovu.
Ndovu special mart ikipeperusha bendera yetu juu.
Wakiwasili kupoka Grand Gold Award ya Ndovu special malt.
Meneja wa Ndovu Oscar Shelukindo na mpishi mkuu wa TBL Mzee Gaudence Mkolwe wanatarajiwa kupokewa kwa shangwe watapotua Dar Jumatano Mchana na
Gulf Air
No comments:
Post a Comment