22.11.13

Monday, June 07, 2010

MICHAEL ROSS AWABURUDISHA VIJANA WA JAM SESSION.

Michael Ross akisign Autograph kwa mashabiki wake alivyokuwa akiingia ndani ya club .

Vijana wakionyesha uwezo wao ndani ya club Sun Cirro jana kwenye Jam Session inayofanyika kila jumapili mchana.

Michael Ross hakuaribu kabisa show ya jana na watu walifurahi kabisa

Akaingia mwanadada Witnesz na alikamua balaaaaaaaaaaaa

MC wa shughuli hiyo akimshukuru B12 kwa kuja kwenye show hiyo ya jana.

No comments: