22.11.13

Wednesday, June 02, 2010

NIKIWA NDANI YA BONGO REC MIDA HII.

Nimekutana na Insp. Haroun na ameniambia ametoa video mpya inayoitwa Hashura na amefanya na kampuni mpya inayoitwa TITIS Media, hii ni kampuni mpya kutoka South Africa na makazi yao yapo Mbeya.
Pia ameniambia kuwa kwasasa anafanya rec zake hapa Bongo Rec na kuna mawe nasikilizishwa hapa daaah msibaaa.

Insp Haroun akiwa na Producer P. Majani ndani ya studio ya Bongo Rec.

1 comment:

Anonymous said...

huyu p-funk mnyamwezi full