22.11.13

Wednesday, June 09, 2010

NILIVUTIWA NA KIPAJI CHA HUYU MTOTO.

Wakati nipo kwenye Enternet moja iliyopo maeneo ya Kijitonyama Sayansi pembeni ya hotel moja inayokwenda kwa jina laa Collabas nilishangaa kuona mtoto huyu akimlazimisha mama yake afunguliwe computer ili na yeye aandike kama wengine.
Mtoto huyu kwa jina la Elisha alikuwa akiandika na kusoma kilichoandikwa kwenye screen, nilifurahi sana kuona kipaji hiki na huyu mtoto,
Enternet hii inatambulika kwa jina la NASHY.

Hapa akitype maneno sasa, angalia mikono yake na vidole vyake alivyoweka, wakati kuna wenzanug na mie wanatumia mkono mmoja kudonyoa herufi.

3 comments:

Anonymous said...

kweli africa bado sana,unashangaa mtotohuyo sasa ukipata nafasi ya kuja mbele si ndio utasema mtoto mdogo anaongea kizungu...anyway rekebisha hilo neno lako hapo sio enternet ni internet ok pambaff

Anonymous said...

mie nimemfurahia sana anajua ku type kwa internet, but nina tatizo moja na watoto kuachwa huru nakwenda kutumia internet cafe wakati wanaweza ingia website zingine ambazo sio nzuri kwa umri wao, mie mtoto wangu nimemfungulia site yake ambayo ndio tu anaitumia na zingine zote nimefunga hawezi kwenda mbali zaidi ya hapo kwake so sio nzuri kuwaacha tu watoto wanaenda kwa cafe nakutumia internet vile watakavyo kwangu ni noo.

Anonymous said...

wabongo bwana,tuko nyuma kweli, sasa hilo si kubwa zima,njoo uwaone watoto wanavyocheza na technology ulaya, si utazimia