22.11.13

Saturday, June 12, 2010

NYIMBO ZILIZOTUFIKIA.

  1. Grace Matata - Nyakati
  2. CBH - Best Friend
  3. Moe9 ft Esta Wassira - Unanipa mizuka
  4. Simple D - Hapo B,Dae
Nasubiri comments zetu wadau kama nyimbo hizi ipi unaipa point zako nyingi.

11 comments:

Anonymous said...

huo wa hapo baadae unaujumbe mzuri...jamaa kajitahidi..

Anonymous said...

MATATA KIBOKO SHE HAS UNIQUE VOICE..PIA HUO WA HAPO'BADAE UKO POA KIAINA.
MARWA

Anonymous said...

Cbh bestfriend inawaonea hao

Anonymous said...

Huyo Bestfriend noooomaaaaaa

Anonymous said...

Kama masikio yapo basi tusikie. mimi nimependa CBH Bestfriend, he is hot, sauti nzuri, maneno yanasikika, na anaaaa..... swagaa katika matamshi

Anonymous said...

cbh kawachafua wote

Anonymous said...

moe9 ni noma

Anonymous said...

moe9 and easter inabamba

Anonymous said...

i lyk moe9 and esta unanipa mizuka

Anonymous said...

esta on unanipa mizuka ni kama mbele vile

Anonymous said...

CBH kaka anatisha hiyo an inlove