Napenda Kuwafahamisha Lile Kundi Jipya Lijulikanalo Kama WANAUME Ambalo Linawakilishwa Na Vijana Sita (6) Ambao Ni:-
1.RICH ONE
2.DAZ P
3.MZIMU
4.KAKAMAN
5.A-MAN
6.JUMA JAZZ
Limeachia Single Yao Ya Kwanza Inayokwenda Kwa Jina La POA TU! Waliyomshirikisha Msanii Bora Wa Hip Hop Nchini Tanzania Kwa Miaka Minne Mfululizo CHIDI BEENZ Na Iliyotengenezwa Katika Studio MPOAFRIKA Chini Ya Producer BENNY MWAMBA...
Ukiwa Kama Mdau Na Kuthamini Umuhimu Wako Katika Kuleta Maendeleo Katika Muziki Huu Wa Kizazi Kipya Hapa Nchini Kwetu Tanzania Tumeona Ni Vizuri Kukutaarifu.
Tunatanguliza Shukrani Kubwa Sana Na M/MUNGU Atujaalie Wote.
AMIN
Bila Kusahau Dua Zenu Zote Ziende Kwa Team Zote Za Africa Zinazoshiriki
WORLD CUP 2010 Huko South Africa.
GO AFRICA IT'S OUR TIME!!!
Kwa Niaba Ya Msemaji Mkuu Wa Kundi
KAREEM SAAD.

No comments:
Post a Comment