22.11.13

Tuesday, June 01, 2010

Ziara Ya Lovely Gamble Yafana.

MSANII SAFI TOKA URBAN PULSE AKIFUNGUA DIMBA
Baada ya mafaniko Makubwa ya uzinduzi wa filamu ya Lovely Gamble mjini kusoma kampuni ya URBAN PULSE inayojishulisha na uzalishaji wa filamu na mziki iliweza kukaribishwa kufanya onyesho maalum katika carnival leo 31.5.10 ikishirikishwa na Reading Borough Council (UK) kufanya tour nchi nzima ya Uk ikiwa ni baada ya kupewa support kubwa na washabiki wa filamu na mziki hapa UK.

ORDAINE NA LISA WAKIFANYA VITU VYAO

WATU WA KUMWAGA

SHOTO KEN MUANDAAJI WA READING CARNIVAL AKILA POZI NA PRODUZYA WA LOVELY GAMBLE

First Lady wa Urban Pulse mish ze fyah sis akifanya makamuzi ya nguvu

Damuz nae alizidisha mashambulizi

Young Josh kulia the best producer nae alikuwepo kumpa support Damuz.

No comments: