22.11.13

Tuesday, July 13, 2010

AFRICAN QUEEN.

Kiukweli nimevutiwa sana na vazi la huyu dada, yaani kajipigilia ma culture ya ukweli kabisa.
Ukitaka kujua huyu dada hapa alikuwa wapi jaribu kuingia site hio hapo chini utajua nini nachokizungumzia.
www.swaggabovu.com

No comments: