22.11.13

Friday, July 23, 2010

AWARDED THE MONDE SELECTION GRAND GOLD MEDAL 2010.

Hii ndio chupa yenyewe ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu sana na watu wengi, maana wengine walishaanza kutuma mgs na kusema ni mambo ya CCM tu hayo.

Wanadada mrembo kabisa akiionyesha chupa nyenyewe.

Tuliokuwepo hapa ambao tunapiga maji aaaaah ilikuwa bweleleeeeee na nyama choma za hapa na pale pia zilikuwepo maeneo haya, hapa nikiwa na braza wangu wa siku nyingi tulipotezana hatimae tukakutana

Maboss wa Ndovu wakipiga chiazi kwa pamoja kusherehekea mafanikio haya

Kaka Efraim, Kibonde (kati) akiwa na Dj Choka

Wageni waalikwa na wadau mbalimbali pamoja na vyombo vya habari walialikwa eneo hili ili kushuhudia yaliojiri hapa.

No comments: