22.11.13

Tuesday, July 27, 2010

BADO TUNAWAKUMBUKA HAWA.

Hii picha bwana ni yakitambo sana...Kuanzia kushoto ni Jay Moe, halafu namuona Prof Jay wa tatu, Fredy, Solo Thang na marehemu Steve 2k aliyechuchumaa kushoto.
Daah RIP Steve 2k

Waliowekewa mishale kwa juu kwasasa hatunao tena, huku kushoto ni Complex anaonekana kwa mbali pamoja na pale kulia ni Steve 2k..enzi hizo.
Namuona Mkoloni mbele ya Steve 2k, na huku kushoto aliyevaa kofia pamoja na tishet nyekundu ni Abubakar Sadick kutoka Radio ONE.

1 comment:

Ima (The Designer) said...

Daaaaaaaaa izopicha ni zakitambo sn,yaani ma mc wamechokaaaaaaaaaa ila this day wakosafi kimtindo. kaka enzi hizo ulikuwa dalasa la ngapi la 3 au 4? Good job