22.11.13

Thursday, July 08, 2010

B,DAY PARTY YA MWANADAFADA RAY RACKA.

Usiku wa jana nilialikwa kwenye b,day party ya Ray Racka, first lady wa kundi la Rackaz. ingawa nilichelewa lakini nilikuta keki ndio kama inataka ianze kukatwa hivi. Na hiyo hapo juu ndio keki yenyewe.

Mwanadada akiwa anaikata vipande vipande tayari kuwalisha wageni waalikwa.

Aliyeanza kuila nini kaka mtu wa Ray,

Akafuatia rafiki yake Ray anaitwa Fatuma

Raya hapa akimlisha rafiki yake wanaosoma wote xcul moja

Raya anamarifiki wengi sana eti huyu nirafiki yake wa Club na kula bata zote.

mtu mzima Moracka akilishwa keki

Anko wa Ray ilifika zamu yake

Aloy nae hakuwa nyuma katika shavu hilo

Ulifika wakati wakufungua show na watu walijipa raha wenyewe bila hata ya kulazimishwa na mtu, safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

3 comments:

Anonymous said...

MAMBO0 VIP[I BRO/ MBONA HII PART VIMIN VINGI SANA WANATUBOA MKUBWA!!

Anonymous said...

kaka tuambine huyu shemeji au tutume CV

Anonymous said...

watoto wa mujini bana'haya ndo wanetu hao tufanye nini zaidi ya kuwahonga RAV4 na VIttZ