22.11.13

Saturday, July 17, 2010

BONGO INK WAJIBORESHA ZAIDI.

Kwa picha zaidi basi watembelee kwenye blog yao inayokwenda kwa jina la
www.bongo-ink.blogspot.com

Katika pita pita zangu nilikutana na mrembo Rose akimaliziwa tatoo yake ya mgongoni, huyu model pia utaweza kumcheki kwenye video ile ya Moracka inayoitwa She Got it.

1 comment:

Anonymous said...

Haya tatoo nzuri sana, ngozi chafu bado.. asafishe kwanza ngozi ipate mvuto ndio hilo ua litapendeza.. hata mtu ukiwa mchoraji, tafuta karatasi safi sio kipande kichafu chafu.. asugue na hivyo viwiko (vipepsi au visambusa)
ni hayo tu.