22.11.13

Tuesday, July 27, 2010

EXTRA BONGO NEXT LEVEL NA RATIBA YAO.

Muda huu nipo hapa Sinza Mori nimekuja kucheki mazoezi ya Extra Bongo wakijiandaa na show zao za mikoani, Kila ijumaa wanapatikana hapa ADVANTAGE CENTRE zamani ikiitwa RUFITA

Extra Bongo tarehe 7 mwezi ujao watakuwepo TANGA katika kuwapa burudani wapenzi wao, na tarehe 8 watakuwepo Morogoro mji kasoro bahari na wote mnakaribishwa.

Wakali wa Extra Bongo wakiwa kwenye Pozi

Wakati niko hapa nilipata kumuona Banza Stone na Ally Choki wakifanya mazoezi kwa pamoja na nimeambiwa kama kwenye hizo show zao za mikoani Banza nae atakuwepo.

Madansa wa Extra Bongo wakijianda na mazoezi.

1 comment:

Mzee wa Changamoto said...

Still proud of what you're doing.
You give us alot to see and or share and we appreciate that.
Thanx Hugo
Blessings Mankind