22.11.13

Monday, July 12, 2010

HUSTLE by Mkazuzu Ft Ordaine


5 comments:

Anonymous said...

choka next tym uctuwekee vitu km ivi vitakuharibia blog, nyimbo mbaya video ndo worse yani very ovyo

Anonymous said...

kila kitu mbayaaaaaaaaa,disgusting lyk hell damn!nendeni shule vijana hiyo sio fan yenu u dig!na pia choka ujue kuwa hii blog wanaangalia watu wa mataifa mbalimbali so watoto kama hawa wanatuharibia jina la la nchi yetu as far as music industry is concerned, usiweke vitu visivyo na kiwango choka phweeeeeee!

Anonymous said...

Jamaaa bado sana naungana na wadau hapo juu next time evaluate kabala hujaweka video kwenye blog hii hawa Unban dado. music na video vinaenda different direction NO MATCH in video editing.......

Anonymous said...

damn!mayne hawa watoto hata kuvaa hawajui,swagga ziro ,video mbya sana naona hata life imewashinda lol
ebu anaglieni mfano kwa stan boy the way the guy is stunnin yaani ni bora hat msingesema mko UK mnatia aibu tupu!choka uchafu huo ondoa bana watu wanatutukana huku kaz mbya mno lol!

Mtoto wa Vitoto said...

Dah! Things that happened in Uganda its so sad bro!!!
Poleni waganda!!!!
By Mtoto wa vitoto!!