22.11.13

Saturday, July 17, 2010

JIACHIE NA CAMERA YA DJ CHOKA.

Kuanzia kushoto ni ndugu yangu Sunday, Kitilo, Anaye gumbania udiwani wa Kijitonyama Mwimjuma pamoja na Vicent. ndugu zangu hawa nilikutana nao maeneo ya kijitonyama sehemu moja inayoitwa Kwa Devi darajani. Ni sehemu nzuri sana yakukaa na kubadilishana mawazo na Seneta wa eneo hilo ni msanii Prof Jay.

No comments: