22.11.13

Saturday, July 24, 2010

MAIL KUTOKA KWA MDAU.

Kaka pole na mihangaiko,jina lako na kazi yako haviendani.et dj choka ??? hujachoka kaka maana makamuzi yako yanakubalika ulimwengu mzima wa watanzania wandani na wa nje. so kuanzia leo nakubatiza utaitwa DJ NGUVUKUBWA.

anyway kifupi wafahamishe wana wako wote wanaopenda habari za ughaibuni kwa level zote. www.hungaz.blogspot.com ni full, inatoa habari za uhakika kwani street ni home kwetu tunatoa taarifa za kikweli bila kubania chochote.tupendane natuwasiliane.
pamoja kaka thax

3 comments:

Ima (The Designer) said...

kaka niko pamoja na mdau ww ss hivi uko Next Levo, so sio mbaya km uta change aka na kuweka inayo maanisha ukali ulio kuwa nao maana ww si dj 2 bali ni kila kitu mwana.

Anonymous said...

huyu jamaa nimemshauri mara nyingi kwenye hii blog kuhusu hilo jina?wewe unajisikiaje mtu anakuita CHOKA!!si bora ujiite DJ VUVUZELA!!

Anonymous said...

..........mimi ninampa DJ FOCUS,DJ MONEY.