22.11.13

Thursday, July 22, 2010

MB DOGGY AREJEA BONGO BAADA YA TOUR NDEFU.

Kama time za asbh ya leo mida ya saa 1 moja hivi pale Mwl.Nyerere International Airport mwana kashuka baada ya bata mrefuuuuuuuuuu wa takribani 3 weeks hivi katika miji tofauti tofauti za U.K. Kila kitu kimeenda poa sana na show zote zilisimama kwa sana.... Mb Doggy anatoa shukrani kwa funs wote walio-show love pande hizo!!!!!!!!! WELCOME BACK HOMMIE!!.. Tulikumiss sana!!!!!

Habari kwa hisani ya
www.arniegizzle.blogspot.com

No comments: