22.11.13

Thursday, July 01, 2010

MJ REC TOUR JIONI HII IMEINGIA SENGEREMA

Tunamshukuru mungu safari yetu ilikuwa nzuri sana na hadi sasa hakuna mtu aliyeumwa wala kupata matatizo yoyote, jioni hii tumeingia hapa Sengerema kwaajili ya show moja na kesho tunaelekea Kahama kwa show moja halafu Jumamosi na Jumapili ni Tabora.

Kama kawaida baada ya kufika hotelin ilibidi tuanze kazi ya PA barabarani kwaajili yakuwajulisha wananchi wa eneo hili kama kuna ujio wa MJ Rec na wasanii kibao.

Kama kawaida mimi niwaonapo watoto nafurahi sana, hapa walikuwa wanacheza wimbo wa Chege Mkono mmoja

Saloon hii ndio inayowatoa watu vizuri hapa Sengerema na imepewa jina la B12 Hair Cutting Saloon

1 comment:

Ima (The Designer) said...

Hahaha daaaaa B dozen kumbe ww mjasilia mali, ss si angewajulisha washkaji ili waka shave free? Its jast a jok. Good job kaka