22.11.13

Wednesday, July 28, 2010

ONYESHA KIPAJI CHAKO KUPITIA BONGO WALLPAPERS.

Bongo wallpapers ni blog niliyoianzisha kwaajili ya vijana wanaofanya vizuri kuonyesha vipaji vyako na mimi kuviweka hewani. Kama unajua kutengeneza picha ikawa nzuri kama hiyo hapo juu nitumie kupitia djchoka84@hotmail.com na mimi nitakuweka hewani.
Kumbuka kunitumia na jina lako ili watu wajue ni wewe, ingia hapo chini kwa picha zaidi
www.bongowallpapers.blogspot.com

No comments: