22.11.13

Thursday, July 29, 2010

SHAVU LA FLAVA NIGHT @MZALENDO PUB

Hapa nikiwa na ndugu yangu Freddynice, huyu jamaa siku si chache ataondoka nchini na atakaa kwa mda mrefu sana huko majuu...sasa ndugu yangu ukifika huko usinisahau bwana sawaeee.

DJ Choka & DJ Mackay kutoka EA Radio na pia utampata siku ya jumamosi akiwa na ndugu zake DJ Venture na DJ Bonny luv

Ma brother DJ Bonny Luv...nakukubali sana kaka yangu..

No comments: