22.11.13

Friday, July 02, 2010

TUKAINGIA RADIO KAHAMA FM.

Hii ndio Kahama FM inavyoonekana kwa nje... hapa wasanii walikuwa wanasubiri kuingia ndani ya radio kwaajili ya mahojiano.

Ndani ya kipindi tulikutana na DJ Ommy ndiye aliyekuwa akiendesha kipindi hicho na kufanya mahojiano na wasanii kuhusiana na show itakayopigwa leo hapa Kahama.

Mtamboni alikuwa DJ Rammy

Master Jay ndiye aliyefungua mahojiano

Chege na Temba wakafuata

Akaja Quick Rocker

Akafuatia Izzo B

Akafunga Joh Makini

Baada ya hapo tukaanza matangazo ya nje namaanisha PA ili watu wawaone wasanii

Wakati tupo kwenye PA tulishuhudia ajali ya pikipiki na baiskeli, kama unavyoona upande wako wa kushoto pikipiki ilikuwa imempakiza mwanamke mmoja na yule mwanamke aliruka barabarani, lakini hakuna aliyeumia

No comments: