Muda mfupi uliopita wasanii walikuwa na enterview ya radio hapa Tabora (
Voice of Tabora), na hivi ndivyo inavyoonekana kwa ndani.
Izzo B
Joh Makini
Quick Rocka
Chege Chigunda
Mh. Temba
Kama ilivyo mikoa mingine tuliyopita lazima matangazo ya barabarani yafanyike na watu wawaone wasanii. Hili zoezi sijui litakuja kuisha lini, zamani ilikuwa inafanyika hivi kwasababu kulikuwa hakuna TV lakini hadi sasa wananchi bado wanataka wasanii watembezwe barabarani ndio waamini.
Hili ndilo soko kuu la Tabora, bado kidogo lifanane na Kariakoo
No comments:
Post a Comment