22.11.13

Saturday, July 10, 2010

VUNJA MBAVU NA STEVE NYERERE KATIKA WEEKEND YAKO.


2 comments:

Anonymous said...

KUJITANGAZA

Hi Choka!

Kweli hapo umetoka mpya, nimecheka mpk stress zote nahisi zimeisha.
Steve anakipaji cha kuzaliwa, na hakuna atakaye kuwa kama yeye.

Nimejaribu kucheki youtube sijaona clip zake, ama kutafuta mtandao wake lkn sijaona!

Ajitahidi kuwa na mtandao wake, hata blog, nk. aweze kusikika na wengi kwa namna nyingi.
Hongera zake

Anonymous said...

huyu jamaa hana kipaji cha kuchekesha bali analazimisha tu fani na kuongea utumbo tu sijaona mtu yeyote akicheka hapo zaid zaid kumzomea tu