22.11.13

Monday, August 02, 2010

CPWAA OFFICIAL SITE.

Katika kuendeleza utandawazi wa habari hatimaye CP naye kafungua website yake mpya ambayo itakuwa inaonyesha kazi zake anazozifanya pamoja na soko lake la mziki, picha na nyimbo zake pia utazipata kwenye site yake hii.
mtembelee kupitia
www.cpwaa.co.tz

No comments: